Section outline

    • Karibu kwenye somo la “Kujitambulisha na Kutambulisha Wengine”! Utafundishwa namna ya kusema jina lako, unakotoka, na jinsi ya kutambulisha mtu mwingine kwa kutumia Kiswahili.
      (Welcome to the lesson “Introducing Yourself and Others”! You will learn how to say your name, where you’re from, and how to introduce someone else using Kiswahili.)

    • Baada ya kukamilisha somo hili, utakuwa na uwezo wa:
      (After completing this lesson, you will be able to)

      • Kusema jina lako na kuuliza jina la mtu mwingine (mfano: Jina langu ni… Unaitwa nani?) (Say your name and ask for someone’s name (Jina langu ni… Unaitwa nani?)).

      • Kuwatambulisha wengine katika mazungumzo (mfano: Huyu ni…) (Introduce others in a conversation (Huyu ni…)).

      • Kutumia utambulisho rasmi na usio rasmi ipasavyo (Use formal and informal introductions appropriately).

    • Muhtasari na Mambo Muhimu (Recap & Key Takeaways):

      • Kujitambulisha ni hatua ya kwanza katika kujenga mawasiliano.
        (Introducing yourself is the first step in building communication.)

      • Maneno kama jina langu ni…, huyu ni…, anatoka… ni muhimu.
        (Phrases like “my name is…”, “this is…”, “he/she is from…” are important.)

      • Kuwa na uwezo wa kujieleza huongeza ujasiri na mawasiliano ya kijamii.
        (Being able to express yourself builds confidence and social interaction.)

    • Tathmini hii inakupima uwezo wa kutoa utambulisho wa binafsi na wa watu wengine kwa kutumia taarifa kama jina, asili, kazi, na mahusiano kwa usahihi na kwa kutumia viwakilishi vya Kiswahili.
      (This assessment evaluates your ability to introduce yourself and others accurately using details such as name, origin, profession, and appropriate Kiswahili pronouns.)