Main content blocks
Section outline
-
-
Tathmini hii inakupima uwezo wa kutoa utambulisho wa binafsi na wa watu wengine kwa kutumia taarifa kama jina, asili, kazi, na mahusiano kwa usahihi na kwa kutumia viwakilishi vya Kiswahili.
(This assessment evaluates your ability to introduce yourself and others accurately using details such as name, origin, profession, and appropriate Kiswahili pronouns.)
-