Section outline

    • Baada ya kukamilisha somo hili, utakuwa na uwezo wa:
      (After completing this lesson, you will be able to)

      • Kusema jina lako na kuuliza jina la mtu mwingine (mfano: Jina langu ni… Unaitwa nani?) (Say your name and ask for someone’s name (Jina langu ni… Unaitwa nani?)).

      • Kuwatambulisha wengine katika mazungumzo (mfano: Huyu ni…) (Introduce others in a conversation (Huyu ni…)).

      • Kutumia utambulisho rasmi na usio rasmi ipasavyo (Use formal and informal introductions appropriately).