Section outline

    • Karibu kwenye somo la "Matumizi ya Kiambishi 'NA'!"

      Katika somo hili, utajifunza jinsi kiambishi 'NA' kinavyotumika kuonyesha wakati uliopo, umiliki, na uandamani katika Kiswahili.
      (Welcome to the lesson on "Usage of the Affix 'NA'!" In this lesson, you will learn how 'NA' is used in Swahili to indicate present tense, possession, and accompaniment.)

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea kiambishi ‘na’ na kazi zake mbalimbali katika Kiswahili (Define the affix ‘na’ and its various functions in Swahili).

      • Kuunda sentensi zinazoonyesha vitendo, umiliki, na uandamani kwa kutumia ‘na’ (Construct sentences expressing actions, possession, and accompaniment using ‘na’).

      • Kutofautisha matumizi tofauti ya ‘na’ kulingana na muktadha (Differentiate the different uses of ‘na’ in different contexts).

    • Muktasari na Mambo Muhimu ya Kukumbuka

      (Recap & Key Takeaways)

      1. Kiambishi 'na' hutumika kwa wakati uliopo, kuonyesha umiliki, na kuandamana.
        (The affix 'na' is widely used in Swahili for present tense, possession, and accompaniment.)

      2. Husaidia kuunda sentensi sahihi za wakati uliopo. Mfano: Anakunywa chai. (Anakunywa chai = He/She is drinking tea.)
        (It helps form grammatically correct present-tense sentences. Example: Anakunywa chai = He/She is drinking tea.)