Main content blocks
Section outline
-
-
Muktasari na Mambo Muhimu ya Kukumbuka
(Recap & Key Takeaways)
-
Kiambishi 'na' hutumika kwa wakati uliopo, kuonyesha umiliki, na kuandamana.
(The affix 'na' is widely used in Swahili for present tense, possession, and accompaniment.) -
Husaidia kuunda sentensi sahihi za wakati uliopo. Mfano: Anakunywa chai. (Anakunywa chai = He/She is drinking tea.)
(It helps form grammatically correct present-tense sentences. Example: Anakunywa chai = He/She is drinking tea.)
-
-