Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kutambua umoja na wingi katika ngeli mbalimbali za nomino za Kiswahili (Identify singular and plural forms in different Swahili noun classes).

      • Kutumia viambishi sahihi kubadilisha nomino kutoka umoja hadi wingi (Use correct prefixes to change nouns from singular to plural).

      • Kuunda sentensi sahihi za kisarufi kwa kutumia upatanisho wa nomino (Construct grammatically accurate sentences using noun agreements).

      • Kuboresha uelewa wa utofauti wa idadi katika lugha ya Kiswahili (Improve fluency in understanding Swahili number distinctions).