Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea kiambishi ‘ki’ na kazi zake mbalimbali za kisarufi (Define the affix ‘ki’ and its different grammatical functions).

      • Kuunda sentensi za masharti kwa kutumia ‘ki’ (mfano: Ukitaka kufanikiwa, fanya kazi kwa bidii) (Construct conditional sentences using ‘ki’ (e.g., Ukitaka kufanikiwa, fanya kazi kwa bidii)).

      • Kutumia ‘ki’ kuelezea vitendo vya kuendelea na namna ya kutendeka (Use ‘ki’ to describe continuous actions and manner).

      • Kuboresha ufasaha wa matumizi ya ‘ki’ kwa usahihi katika mazungumzo ya Kiswahili (Improve fluency in using ‘ki’ correctly in Swahili conversations).