Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea kiambishi ‘kwa’ na majukumu yake mbalimbali ya kisarufi (Define the affix ‘kwa’ and its various grammatical roles).

      • Kuunda sentensi kwa kutumia ‘kwa’ kuonyesha namna, sababu, kifaa, na mahali (Construct sentences using ‘kwa’ for manner, cause, instrument, and location).

      • Kutofautisha muktadha mbalimbali ya matumizi ya ‘kwa’ (Differentiate between the different contexts where ‘kwa’ is used).

      • Kuboresha ufasaha katika kuelezea sababu, njia, na mahali katika sentensi za Kiswahili (Improve fluency in expressing cause, method, and place in Swahili sentences).