Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea kiambishi ‘ji’ na kazi yake katika sarufi ya Kiswahili (Define the affix ‘ji’ and its function in Swahili grammar).

      • Kuunda sentensi zinazotumia ‘ji’ kuonyesha vitendo vya kujirejelea (Construct sentences using ‘ji’ for reflexive actions and self-reference).

      • Kutambua nomino za Kiswahili zinazotokana na kiambishi ‘ji’ (Identify common Swahili nouns formed using ‘ji’).

      • Kutofautisha matumizi mbalimbali ya ‘ji’ katika muktadha tofauti (Differentiate between the various uses of ‘ji’ in different contexts).