Main content blocks
Section outline
-
-
Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
(By the end of this lesson, learners will be able to)-
Kuelezea virai na kazi yake katika sarufi ya Kiswahili (Define Virai (phrases) and their function in Swahili grammar).
-
Kutambua na kutumia aina mbalimbali za virai vya Kiswahili (Identify and use different types of Swahili phrases).
-
Kutumia virai kwa usahihi katika uundaji wa sentensi (Apply phrases correctly in sentence construction).
-
Kuunda virai vya Kiswahili vyenye maana na sahihi kisarufi (Construct grammatically correct and meaningful Swahili phrases).
-
Kuboresha ufasaha wa matumizi ya virai katika mazungumzo na uandishi wa kila siku (Improve fluency in using phrases in daily conversation and writing).
-
-