Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea kiambishi ‘PO’ na kazi yake ya kisarufi katika Kiswahili (Define the affix ‘PO’ and its grammatical function in Swahili).

      • Kutumia ‘PO’ kuelezea mahali, eneo, au nafasi (Use ‘PO’ to describe a location, place, or position).

      • Kuunda sentensi sahihi kisarufi kwa kutumia ‘PO’ (Construct grammatically correct sentences using ‘PO’).

      • Kuboresha ufasaha katika kuelezea mahali na kuwepo kwa kitu katika Kiswahili (Improve fluency in expressing location and existence in Swahili).