Section outline

    • Karibu kwenye somo la "Matumizi ya Kiambishi 'PO'!"

      Katika somo hili, utajifunza jinsi kiambishi 'PO' kinavyotumika kuonyesha mahali, nafasi, na uwepo katika Kiswahili.
      (Welcome to the lesson on "Usage of the Affix 'PO'!" In this lesson, you will learn how the affix 'PO' is used in Swahili to indicate location, position, and existence.)