Main content blocks
Section outline
-
-
Muhtasari na Mambo Muhimu (Recap & Key Takeaways):
-
Maneno kama bei gani? na naweza lipa kiasi gani? ni ya msingi.
(Phrases like how much? and how much can I pay? are essential.) -
Kujua nambari na sarafu ni muhimu kwa maelewano.
(Knowing numbers and currency is key to understanding.) -
Uwezo wa kununua bidhaa huongeza ujasiri katika mazingira ya soko.
(Being able to buy items increases confidence in market settings.)
-
-