Section outline

    • Zoezi hili linazingatia kutafsiri sentensi kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili kwa kutumia maneno “Napenda” na “Sipendi” kueleza kile mtu anapenda au hapendi kufanya.
      (This activity focuses on translating sentences from English into Kiswahili using “Napenda” and “Sipendi” to express what someone likes or dislikes doing.)