Zoezi hili linahusisha matumizi sahihi ya vivumishi vya pekee kama -ote, -o-ote, -enye, -enyewe, -ingine, kwa kuzingatia ulinganifu wake na ngeli za nomino.
(This practice focuses on the correct application of unique adjectives such as -ote, -o-ote, -enye, -enyewe, -ingine, ensuring proper agreement with noun classes.)