Main content blocks
Section outline
-
-
Muhtasari na Mambo Muhimu (Recap & Key Takeaways):
-
Ngeli ya KI-VI hutumika kwa majina ya vitu au vitu visivyo hai.
(The KI-VI class is used for nouns referring to objects or inanimate things.) -
Mifano: kiti → viti, kitabu → vitabu.
(Examples: chair → chairs, book → books.) -
Kiambatanishi cha vitenzi, vivumishi na viwakilishi hubadilika kulingana na ngeli hii.
(Verb, adjective, and pronoun agreements change according to this noun class.)
-
-