Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea vivumishi vya idadi na kazi yake katika sarufi ya Kiswahili (Define vivumishi vya idadi (numeral adjectives) and their function in Swahili grammar).

      • Kutofautisha kati ya vivumishi vya idadi kamili na vya mpangilio (Differentiate between cardinal and ordinal adjectives).

      • Kuelewa jinsi vivumishi vya idadi vinavyokubaliana na ngeli tofauti za nomino (Understand how numeral adjectives agree with different noun classes).

      • Kutumia vivumishi vya idadi kwa usahihi katika kuelezea idadi na mpangilio (Use numeral adjectives correctly in describing quantity and order).

      • Kuunda sentensi kwa kutumia vivumishi vya idadi ipasavyo (Construct sentences using numeral adjectives appropriately).