Main content blocks
Section outline
-
-
Muktasari na Mambo Muhimu ya Kukumbuka:
(Recap and Key Takeaways)
-
Nomino hutumika kutaja watu, wanyama, mahali, vitu, na mawazo.
(Nouns are used to name people, animals, places, things, and ideas.) -
Nomino za Kiswahili hupangwa katika makundi ya ngeli.
(Swahili nouns are categorized into noun classes (ngeli).) -
Nomino huamua jinsi maneno mengine katika sentensi yanavyopangwa.
(Nouns determine how other words in the sentence are structured.) -
Kuelewa nomino ni muhimu kwa kufahamu sarufi ya Kiswahili na mawasiliano kwa ufasaha.
(Understanding nouns is key to mastering Swahili grammar and communication.)
-
-