Section outline

    • Mwisho wa somo hili, utakuwa na uwezo wa:
      (By the end of this lesson, you will be able to)

      • Kutambua na kutumia salamu za kawaida za Kiswahili (mfano: Habari? Jambo? Shikamoo?) (Recognize and use common Swahili greetings (Habari? Jambo? Shikamoo?)).

      • Kujibu salamu mbalimbali kwa njia inayofaa (Respond appropriately to different greetings).

      • Kutofautisha kati ya salamu rasmi na zisizo rasmi (Differentiate between formal and informal greetings).

      • Kutamka salamu kwa usahihi ili kuwasiliana kwa ufanisi (Pronounce greetings correctly for natural communication).