Main content blocks
Section outline
-
-
Karibu kwenye somo la “Sauti za Irabu za Kiswahili”! Hapa utajifunza irabu tano kuu za Kiswahili: A, E, I, O, na U – jinsi zinavyotamkwa na umuhimu wake katika matamshi sahihi.
(Welcome to the lesson “Kiswahili Vowel Sounds”! Here, you will learn the five main vowels in Kiswahili – A, E, I, O, and U – how they are pronounced and their importance in clear pronunciation.)
-