Section outline

    • Mwisho wa somo hili, wanafunzi wataweza:
      (By the end of this lesson, learners will be able to)

      • Kuelezea ngeli za nomino na nafasi yake katika sarufi ya Kiswahili (Define ngeli za nomino (noun classes) and their role in Swahili grammar).

      • Kuweka nomino katika ngeli sahihi (Categorize nouns into the appropriate noun class).

      • Kuelewa jinsi ngeli za nomino zinavyoathiri upatanishi wa vitenzi, vivumishi, na viwakilishi (Understand how noun classes affect verb, adjective, and pronoun agreements).

      • Kutumia viambishi vya ngeli kwa usahihi katika uundaji wa sentensi (Use noun class prefixes correctly in sentence formation).

      • Kutambua mifumo ya upangaji wa nomino ili kuboresha ufasaha (Recognize patterns in noun classification to improve fluency).